Waziri Mkuu, Mhe. Kassim_m_majaliwa alipokagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo Septemba 04, 2023.
Ukarabati mkubwa unatarajiwa kukamilika Agosti 2024 lakini sehemu ya ukarabati unafanyika kuwezesha pambano la ufunguzi wa Africa Football League kufanyika tarehe 20 Oktoba, 2023 ambapo simbasctanzania watawaalika alahly ya Misri.
Maandalizi ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mechi ya ufunguzi wa Africa Footbal League, mambo poa.
Waziri Mkuu kassim_m_majaliwa aridhishwa na aipongeza simbasctanzania kwa kuchangia samani katika ukarabati.

