Mamelodi Sundowns wametinga hatua ya fainali AFL wakiifurusha miamba ya soka Afrika Al Ahly.
FT’
Al Ahly 0️⃣-0️⃣ Mamelodi
Agg: (0-1)
Mbavu ya kulia ya Boli hii hapa
Leo Al Ahly wametumia mawinga wanne tofauti upande wake lakini wote amewaweka kwenye mfuko mdogo wa jeans. Alikuwa hakatizi mtu upande wake.
Nguvu
Kasi
Mrefu kukabiliana mipira ya juu
Energy ya hali ya juu
KHULISO MUDAU
Mamelodi wametinga hatua ya fainali ya African Football League baada ya kuiondosha Al Ahly

