Site icon Bongo Plus

Beautiful Tyla has led the way to most nominations in the BET Awards 2024 for African artists, in four categories

Beautiful Tyla has led the way to most nominations in the BET Awards 2024 for African artists, in four categories, Best international act, Best female R&B/pop artist, Best new artist and Viewer’s choice award, followed by Ayra Starr in three categories and Burna Boy in On two levels.

Other artistes from the African continent named to participate in the Awards include Tems, Asake, Focalistic and Davido.
(IN SWAHILI )

Mrembo Tyla ameongoza kwa kutajwa kwenye vipengele vingi katika Tuzo za BET 2024 kwa upande wa wasanii kutoka Afrika, akiwa kwenye vipengele vinne, Best international act, Best female R&B/pop artist, Best new artist na Viewer’s choice award, akifuatiwa na Ayra Starr akiwa kwenye vipengele vitatu na Burna Boy akiwa kwenye vipengele viwili.

Wasanii wengine kutoka barani Afrika waliotajwa kushiriki katika Tuzo hizo ni pamoja na Tems, Asake, Focalistic na Davido.

Exit mobile version