Site icon Bongo Plus

Beyonce Ashinda Best Country Album

Queen B (Beyonce) ameibuka mshindi wa tuzo ya Best Country Album katika ugawaji wa tuzo za Grammy 2025.

Beyonce anaweka rekodi nyingine na kuwa mwanamke wa kwanza kushinda tuzo hiyo kwa zaidi ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa tuzo za Grammy.

Exit mobile version