Site icon Bongo Plus

Bulgaria kuondoa vikwazo vya Nafaka kutoka Ukraine

Sofia Bulgaria, serikali imehamuwa kutoongeza muda wa vikwazo vya kutoagiza  Nafaka kutoka taifa la Ukraine 

Baada ya Russsia kuivamia ukraine  usafilishaji kupitia black sea shopping ulifungwa na hivyo  kufanya taifa la Ukraine kutumia nchi za ulaya kwenye usafilishaji wa Nafaka na mazao mengine katika biashara.

Mwezi wa sita baraza kuu la nchi za Ulaya ilipiga marufuku uagiza au ununuwaji wa  Nafaka kutoka Ukraine kwa nchi tano ambazo ni wanachama wa ulaya walio kuwa wanalalamika kushuka na kuharibika kwa bei ya nafaka 

Nchi hizo tano ni Bulgaria, Romania. Hungary, Romania na Poland, Pia Romania imesema inaunga mkono kwa  hatuwa ambazo Bulgaria imechukuwa kuondowa vikwazo hivyo.

Exit mobile version