The African Giant @burnaboygram Ametusanua kuwa “Sipendi watu wa X (zamani Twitter)” ametoa kauli hiyo ambayo ameonesha kutopendezwa na tabia ya watumiaji wengi wa mtandao huo wa kijami.
Nyota huyo wa Nigeria aliweka wazi hivi karibuni kwenye mahojiano na @kissfresh kuwa alihisi Watu wa Nigeria pekee kwenye mtandao huo ndio wenye “wazimu”, lakini @burnaboygram alishtushwa baada ya kugundua kuwa watumiaji wa X ulimwenguni kote wana tabia sawa.

