Site icon Bongo Plus

Cristiano Ronaldo amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez

Cristiano Ronaldo amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez. Wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 9 sasa na tayari wana watoto wawili pamoja.

Georgina ameweka picha ikimuonesha akiwa amevalia pete ikiambata na caption isemayo “Yes I Do” akimaanisha amekubali kuolewa na nyota huyo wa Al Nassr ya Saudi Arabia

 

Exit mobile version