Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Arusha jioni hii Mei 16, 2024 kupitia uwanja mdogo wa ndege wa Kisongo na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda aliyeambatana na viongozi wa Chama na serikali pamoja na maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Arusha.
Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi yupo mkoani Arusha, alipopangiwa kuhudhuria mkutano Mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Benki ya CRDB, mkutano unaotarajiwa kufanyika Ijumaa Mei 17, 2024 kwenye Ukumbi wa Kituo cha mikutano cha kimataifa Jijini Arusha AICC.
[5/16, 8:12 PM] +255 755 526 835: VIDEO:
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili mkoani Arusha jioni ya leo, Alhamisi Mei 16.2024 kupitia uwanja wa ndege wa Kisongo Arusha, ambapo amepokelewa na Mkuu wa mkoa huo Paul Christian Makonda aliyeambatana na viongozi wa CCM na serikali pamoja na maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Arusha
Rais Dkt. Mwinyi yupo Arusha kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Benki ya CRDB, mkutano unaotarajiwa kufanyika Ijumaa Mei 17.2024 kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha (AICC)