Site icon Bongo Plus

DKT. MPANGO KWENYE KIKAO KAZI CHA TANO CHA SERIKALI MTANDAO

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini Arusha leo kwenye kikao kazi cha tano cha Serikali mtandao, kinachofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).

Dkt. Mpango amepokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene pamoja na mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Exit mobile version