Site icon Bongo Plus

Heche Azuiliwa Kwenda Kumzika Raila Odinga

Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA, John Heche aeleza kuzuiliwa mpakani mwa Kenya na Tanzania. Alikuwa akielekea Kisumu kwa ajili ya mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga.

Exit mobile version