Waziri Mkuu kassim_m_majaliwa leo Januari 18, 2024 ameelekea nchini uganda ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. samia_suluhu_hassan katika Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) ulioanza tarehe 15 – 20 Januari, 2024 na Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77+China utakaofanyika tarehe 21-22 Januari, 2024, Kampala – Uganda.
kassim majaliwa leo Januari 18, 2024 ameelekea nchini Uganda

