KIBU DENIS TAJIRI MPYA MJINI BMW X3 M350 MSHAHARA 15M 💰
IMEFAHAMIKA Thamani ya Mkataba wa Kibu Denis aliosaini Simba Sc (miaka miwili) ni Tsh. 350 Milioni + Gari lenye thamani ya Tsh.50 Milioni, Sasa kibu Denis atakuwa analipwa kwa mwezi Tsh. 15 Milioni.