Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Brigham Young umeonyesha kuwa kukimbia kwa dakika 30 hadi 40 mara tano kwa wiki kunaweza kupunguza kasi ya kuzeeka na kwa takribani miaka tisa.
Hii inahusishwa na uhifadhi wa telomere, sehemu za kinga kwenye kromosomu ambazo hupungua kasi ya jinsi tunavyozeeka.
Kwa mujibu wa utafiti huo, watu wanaojihusisha na mazoezi ya kiwango cha juu walionekana kuwa na telomere ndefu zaidi, hali iliyowapa faida, ikilinganishwa na wale wasiofanya mazoezi.
Je, wewNe hukimbia mara ngapi kwa wiki?