Site icon Bongo Plus

Majaliwa Afturu na Watoto Waishio Mazingira Magumu

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa.(katikati) akiwapatia zawadi watoto waishio kwenye.mazingira magumu wakati wa ibada ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake, wadau mbalimbali na watoto yatima jijini Dar es Salaam.

Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB,.David Nchimbi (wapili Kulia)..Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna,.wapili kushoto ni Sheikh wa Wilaya ya llala, Sheikh Adam.Mwenepingu na kushoto ni Naibu waziri wa Fedha,.Hamad Chande.

 

Exit mobile version