Site icon Bongo Plus

Mawazo Yanapungua Ukilala Umekombatiwa na Mpenzi Wako

Utafiti mpya unaonyesha kuwa kulala karibu na Mpenzi wako huku mmekumbatiana husaidia kupunguza Mawazo na msongo wa akili.

Wataalamu wanasema kitendo hicho huchochea kutolewa kwa homoni za furaha kama ambazo huleta hisia za furaha.

Watafiti ambao ni Josh R Novak na Kaleigh C. Miller kutoka Auburn University nchini Marekani waliwafuatilia wanandoa 143 heterosexual, waliokuwa pamoja kwa wastani wa miaka 13, na kugundua kuwa, wanaofurahia mkumbatiano kabla ya kulala hawapati msongo wa mawazo na kupata usalama mzuri wa kihemko katika uhusiano wao.

Exit mobile version