Tunaendelea na uchunguzi wa suala hili na mahojiano yamefanyika na yuko nje kwa dhamana (Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Pauline Philipo Gekul) hivyo bado tunaendelea na uchunguzi wa suala hili” – ACP George Katabazi – RPC Manyara akizungumza kwa simu kwenye
Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Pauline Philipo Gekul yuko nje kwa Dhamana

