Mshambuliaji wa KenGold, Seleman Bwenzi aliyefunga bao la kufutia machozi kwa shuti la moja kwa moja kutokea katikati ya uwanja akipokea fedha kutoka kwa mashabiki waliofika katika Uwanja wa KMC kutazama mchezo ulioisha kwa Yanga ikibuka na ushindi wa mabao 6-1.
Mchezaji wa KenGold Aliyemtundua Diarra Aondoka na Kibunda.
![](https://bongoplus.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/Screenshot_20250205_193505_Instagram.jpg)