Site icon Bongo Plus

Meneja wetu wa Habari na Mawasiliano tayari amekabidhi jezi ya Wananchi kwa Rais wa TFF, Wallace Karia na Makamu wake wa Kwanza, Athuman Nyamlani kwa

Meneja wetu wa Habari na Mawasiliano tayari amekabidhi jezi ya Wananchi kwa Rais wa TFF, Wallace Karia na Makamu wake wa Kwanza, Athuman Nyamlani kwa ajili ya mtoko wa Mechi kubwa zaidi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Tutakayocheza dhidi ya Mamelodi Sundown

Tiketi za VIP zimebaki chache sana .. Kata mapema tiketi yako Mwananchi uwe sehemu ya Historia ndani ya uwanja wa Mkapa Jumamosi, Machi 30, 2024

Exit mobile version