Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) katika hafla ya uzinduzi wa Nembo na Kaulimbiu ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kambarage-Hazina jijini Dodoma tarehe 8 Aprili, 2024.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb).

