Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group @josephkusaga akiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia na Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said wamewasili Bungeni Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria na kufuatilia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 itakayowasilishwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
Endelea kutufuatilia kupitia ukurasa zetu za mitandao ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz pamoja akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zaidi.
