Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime akiwasili Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Tanga kwa ajili ya Kutoa Mafunzo ya Kuwajengea uwezo Maafisa, Wakaguzi, Askari na Wananchi kwa ujumla kuhusu ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na Jamii katika kubaini na kuzuia uhalifu mafunzo hayo yanatolewa kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 02, 2023 katika Wilaya ya Tanga Mjini, Handeni, Kilindi, Muheza na Korogwe.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime akiwasili Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Tanga

