Site icon Bongo Plus

Mwenge Tayari watuwa Ilala tayari kukaguwa Miradi

Viongozi mbalimbali katika wilaya ya ilala wakiongozwa na mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo, wakishika mwenge wa uhuru kitaifa ambao unakimbizwa zaidi ya km 80 za wilaya ya ilala.

Mwenge wa uhuru utazindua miradi mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya bilioni 44, miradi hiyo ni pamoja na kuweka jiwe la uzinduzi miradi wa nishati safi soko la samaki Ferry, kukagua na kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara ya magengeni Chang’ombe African School Sanene pamoja na ukaguzi wa kuweka jiwe la msingi la miradi wa usambazi maji kusini mwa Dar es salaam. n.k

 

Exit mobile version