SEPTEMBER 16, 2023
Kutoka Ndola, Zambia Uwanja wa Levy Mwanawasa, kinapigwa kati ya Power Dynamos dhidi ya Simba 10:00 jioni live.
Kutoka Rwanda, Uwanja wa Pele, Al Merrikh na Yanga 10:00 jioni.Live
Pakucheki game ni bandani, mechi zote zinaonyeshwa. Ipi isikike sauti?
A} Simba
B} Yanga