Site icon Bongo Plus

Patrobasskatambi akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. @patrobasskatambi_ (wa pili kulia) Septemba 6, 2023 akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alipo wasili katika Mkutano wa mwaka wa kiutendaji wa Maafisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara za kisekta, Taasisi za Umma na sekta binafsi zinazotoa huduma za ustawi wa jamii nchini.

Exit mobile version