Site icon Bongo Plus

Paul Kagame kugombea tena Uraisi 2024

Raisi wa Rwanda Mhe Paul kagame ametangaza nia ya kugombea tena Uraisi wa nchi hiyo kwa mala ya 4, Paul kagame ametangaza nia hiyo kwa sababu anaamini wananchi wana imani nae kwa asilimia kubwa, kujiamini huko h kunatokana na uchaguzi uliopita wa mwaka 2017 ambao Paul kagame alishinda kwa asilimia 99.

Paul kagame amesisitiza wanachofikiria Magharibi sio tatizo kwake   

 

Exit mobile version