Viongozi walioapishwa wakila Kiapo cha Maadili Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo Septemba 10, 2023.
Rais wa Zanzibar Dkt. @dr.hmwinyi akimpongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe Dotto Biteko muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nyashifa hizo IKULU Ndogo Zanzibar Leo, Kulia ni Spika wa Bunge Dkt. @tulia.ackson

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. @jmakamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @samia_suluhu_hassan , akimuapisha Mhe. @innocentbash kuwa Waziri wa ujenzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. @jerrysilaa kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.