Site icon Bongo Plus

Picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

Rais wa Jamhuri va Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) mara baada ya uapisho wa Viongozi uliyofanyika Ikulu ndogo, Tunguu Zanzibar, leo tarehe 27 Julai 2026

 

Exit mobile version