Paul Pogba mwenye umri wa miaka 30 na mchezaji wa timu ya juventus yuko hatarini kufungiwa kifungo cha muda mrefu baada ya kugundulika kutumia dawa za kuongeza nguvu , bado uchunguzi unaendelea
Pogba alichukuliwa vipimo mwezi uliopita katika mchezo wao wa kwanza wa ligi dhidi ya Udinise , vipimo hivi huchukulia kwa kushitukiza na mchezaji wowote anaweza kupimwa , mpaka sasa amesimamishwa kucheza na timu yake mpaka uchunguzi ukamili, ikibainika kuwa anatumia madawa hayo basi huenda akafungiwa muda mrefu kutocheza mpira
Baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kukamatwa kwasababu ya utumiaji wa dawa hizo ni
Vinnie jones alifungiwa miezi sita
kolo toure alifungiwa miezi 6
Adrian Mutu

