Site icon Bongo Plus

Post Malone Ampatia Kijana Wa Miaka 11 Gitaa Yake Ya Million 12 Akiwa Jukwaani.

Shabiki mmoja wa Post Malone aliyebahatika sana aliondoka kwenye tamasha lake na kumbukumbu ya kick-ass Guitar kama zawadi kutoka kwa mwanamuziki huyo wa rock.🔥

Guitar Hilo Post Malone amedai kuwa linagharimu Dollar elfu 5k ambayo ni Million 12 na laki 5 Za Tanzania Binti huyo ”Winter” mwenye umri wa miaka 11 alihudhuria tamasha la Post’s Tampa Bay Jumanne usiku, na mwisho wa onyesho, alikabidhiwa gitaa lile lile analocheza nalo Post Malone kwenye jukwaa na mtoto huyo aliomba saini ya post katika gitaa hilo pia.😁📌

Mamake Winter, Jenn, alisema mtoto wake ni shabiki mkubwa wa Post. Mbali na yote dada wa winter alipata zawadi pia kama Soksi na T.shirt ya Post Malone.

VIDEO YA POST MALONE ALIVYOMPATIA WINTER NA BROOKLYN GITAA LAKE

 

Picha Ya Brooklyn na Winter wakiwa na gitaa awalilopewa na Post Malone.

 

Winter akiwa na gitaa walilopewa na Post Malone.

Brookyln Dada Wa Winter alipewa zawadi ya soksi na T.shirt ya Post Malone.

Exit mobile version