Site icon Bongo Plus

Rais Aliye Pinduliwa Akamatwa Akijaribu Kutoroka.

Serikali ya kijeshi nchini Niger imesema imezuia jaribio la Rais Mohamed Bazoum kutoroka kizuizini alikowekwa tangu alipoondolewa
madarakani.

Msemaji wa jeshi amesema Bazoum alijaribu kutoroka usiku na familia yake, wapishi na maafisa wa usalama kwenda nchi nyingine kwa kutumia helikopta, lakini mpango huo uligundulika.

Exit mobile version