Site icon Bongo Plus

Rais Samia Akutana na Rais Ruto wa Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekuta na kufanya mazungumzo na Rais wa Kenya William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unaofanyikajijini Dar es Salaam.

Hii inakuja ikiwa ni siku moja baada ya kiongozi wa upinzani Raila Odinga kudai kuwa Ruto alipuuza juhudi za rais Samia kuwapatanisha kuhusu mzozo wa kisiasa wa Kenya wiki mbili
zilizopita.

 

Exit mobile version