Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. samia suluhu hassan
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).
Chuo hicho kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia Sekta ya Utalii leo Desemba 28, 2023.
