Site icon Bongo Plus

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki alipokuwa akizungumza na mabalozi pamoja na viongozi mbalimbali akielezea umuhimu wa siku ya Afrika.

Sehemu ya Alichokisema Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akiwa ni mgeni maalum katika tukio la Africa Day Gala Dinner 2025 Jijini Dar es Salaam.

Kumbuka Mei 25 mwaka huu tunaadhimisha miaka 62 ya Siku ya Afrika ambayo itakuwa na tukio kubwa la Africa Day Marathon itakayofanyika pale JNICC Posta Jijini Dar es Salaam.

Kumbuka Mei 25 mwaka huu tunaadhimisha miaka 62 ya Siku ya Afrika ambayo itakuwa na tukio kubwa la Africa Day Marathon itakayofanyika pale JNICC Posta Jijini Dar es Salaam.

Exit mobile version