Site icon Bongo Plus

Raisi Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

Exit mobile version