
Matukio mbalimbali ambapo Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwatunuku Kamisheni pamoja na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (BMS) Maafisa
wanafunzi Kundi la 05/21 katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024.
