Site icon Bongo Plus

Sofyan Amrabat ajiunga Manchester United kwa mkopo

Timu ya  Manchester united ya uingereza na timu ya ya Fiorentina ya Italy wamekubaliana  kumsaini kiungo mkabaji wa  Sofyan Amrabat kwa mkopo kwa muda wa miezi 6, Ada ya mkopo  huo  ni kiasi cha fedha  yuro Milioni 10  na endapo watakapo taka kumnunuwa watahitajika kulipa yuro Millioni 20  jumlisha na  na makato ya njongeza kiasi cha yuro 5million

 

Exit mobile version