Site icon Bongo Plus

Spika Tuliajackson amemtembelea na kumpongeza Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. John Malecela kwa kutimiza miaka 90 ya kuzaliwa

Spika na Rais wa IPU, Dkt. @tulia.ackson amemtembelea na kumpongeza Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. John Malecela kwa kutimiza miaka 90 ya kuzaliwa kwake Uzunguni Jijini Dodoma.

Mhe. Spika amemkabidhi Mhe. Malecela picha ikiwa ni ishara ya kumtakia kheri, afya njema na maisha marefu.

Exit mobile version