Maadhimisho hayo yanafanyika katika makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Mikocheni Daresalaam, na mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan lakini amewakilishwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
Maadhimisho hayo yanaenda sambamba na uzinduzi wa Soma Kwanza Tv, Uzinduzi wa Mfumo wa Ufundishaji na Ujifunzaji wa Walimu (LMS) na Uzinduzi wa Jalada la Kitabu cha Hadithi (Bi Mkubwa na Wajukuze
