Kutana na wanandoa hawa ambao wanashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa busu refu zaidi, wali-kiss kwa zaidi ya saa 58 bila kuachiana na kuwa ishara maarufu ya upendo na kujitoa
Wanandoa hao wa Thailand, Ekkachai Tiranarat na Laksana Tiranarat mwaka 2013 waligandana kwa kiss kwa saa 58, dakika 35 na sekunde 58.
Lakini mapenzi yalivyo ya ajabu, wanandoa hawa waliobusu kwa saa nyingi zaidi ili kuweka rekodi ya kimataifa hatimaye waliishia kutalikiana, inasikitisha sana
Wakati mwingine uhusiano unaoonekana sio wa kuvunjika mbele ya kamera haudumu nyuma ya milango iliyofungwa!
Umejifunza nini kwenye hii stori?

