Site icon Bongo Plus

Wanaochelewa Kulala Hatarini Kupata Tatizo La Afya ya Akili.

Utafiti ulioongozwa na Stanford uligundua kuwa watu wanaochelewa kulala wanauwezekano wa 20% hadi 40% kukumbwa na matatizo ya afya ya Akili.

Unapochelewa Kulala ubongo wako hutegemea wasiwasi wa hali ya chini na mwisho kupelekea matatizo ya Afya ya Akili.

Utafiti huo umeongeza na kusema kuwa usingizi thabiti ni ukingo wa utulivu na hisia, nishati na maamuzi ya Ubongo.

Exit mobile version