
Usiku wa kuamkia leo katika jji la Kigali
zimefanyika Tuzo za Muziki za TraceAwards2023
Tanzania ikiwakilishwa vyema na Diamond Platnumz, Zuchu na Jux.
Hii ndio orodha ya washindi:
Msanii Bora Afrika Mashariki – Diamond Platnumz
Msanii Bora Ufaransa na Ubelgiji – Tayc (Ufaransa)
Msanii Bora Uingereza – Central Cee
Msanii Bora Caribbean – Rutshelle Guillaume (Haiti)
Msanii Bora Ukanda wa Bahari ya Hindi – Goulam
(Comoro)
Msanii Bora Brazil – Ludmilla
Msanii Bora Afrika Kaskazini – Dystinct (Morocco)
Msanii Bora Nchi za Kifaransa – Didi B (Ivory Coast)
Msanii Bora Rwanda – Bruce Melodie
Msanii Bora wa Gospel- KS Bloom (Ivory Coast)
Msanii Bora wa Live – Fally lpupa (DRC)
Dansa Bora – Robot Boli (Afrika Kusini)
Msanii Alieleta Mabadiliko – Mr Eazi (Nigeria)
Tuzo ya Heshima – 2Face
Msanii Bora wa Kike – Viviane Chidid (Senegal)
Msanii Bora wa Kiume Ulimwenguni – Rema
(Nigeria)
Albamu Bora ya Mwaka – Love Damini (Burna Boy)
Msanii Bora Nchi za Kiingereza – Asake
Msanii Bora Chipukizi- Roselyne Layo (Ivory Coast)
Wimbo Bora wa Kushirikiana – Unavailable (Davido
x Musa Keys)
Dj Bora – Michael Brun (Haiti)
Producer Bora – Tam Sir (vory Coast)
Wimbo Bora wa Mwaka – Calm Down (Rema)
Video Bora ya Mwaka – Baddie – Yemi Alade
(Nigeria)
