Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 28, 2023 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia
Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.