Site icon Bongo Plus

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb) leo Februari 08, 2024 Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb), leo Februari 08, 2024 Bungeni jijini Dodoma.

Exit mobile version