Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mahmoud Thabit Kombo wa nne kutoka kulia kwa waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki wa tatu kutoka kushoto waliokaa.
Wengine katika picha ni viongozi na wageni waalikwa katika tukio la Africa Day Gala Dinner 2025.
Kumbuka Mei 25 mwaka huu tunaadhimisha miaka 62 ya Siku ya Afrika ambayo itakuwa na tukio kubwa la Africa Day Marathon itakayofanyika pale JNICC Posta Jijini Dar es Salaa
