
πππ ππππIPANGA πππππ πππ ππππ πππ πππ ππππππππ β πππ. πππππ
βChama kinajipanga kutafuta usafiri kwa ajili ya mabalozi wetu, vyombo hivyo vitaongeza tija katika utekelezaji wa majukumu na niwaombe viongozi mtunze vyombo hivyo na vitumike katika kutekeleza majukumu ya chama chetu (CCM)β
πππ πππππππππππ πππ. ππππππ πππ πππππππ ππππ πππππππ ππππ β πππ. πππππ
βHalmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa inamshukuru Ndugu. Abdulrahman Kinana kwa uongozi wake thabiti ndani ya CCM na Serikalini, tunamshukuru sana na tunaendelea kumuhakikishia ushirikiano wetu kwake.
πππππππ 1924 πππππππππππ πππππππ ππππ ππ πππ β ππππππ πππ. πππππππ
βWajumbe wote wa kikao hichi ni 1928, wajumbe waliopata dharura ni 4 pekee, hivyo hapa wapo wajumbe 1924 ndani ya ukumbi huu, kwahiyo kwa mujibu wa Katiba yetu ya CCM ibara 127 inatamka kikao kiwe na wajumbe zaidi ya nusu kifanyike hivyo kwa mujibu wa katiba kikao hichi ni halali.β
Β
#
Β
