Waasi kutoka kazikazini nchini Mali Tuareg wamesema kwa sasa wamechukuwa na wanamiliki kambi ya Kidal ambayo ilikuwa inatumiwa na walinda amani wa UN,
Mji huo wa Kidal unaonekana ni mji muhimu kwa mapigano kati ya waasi hao na jeshi la mali , ikumbukwe mwezi wa 6 mwaka 2023 Jeshi la mali liliwataka walinda amani wa UN kuondoka hadi ifikapo mwishoni mwezi wa 12 . Kuondoka huko kumekaribisha mapigano mapya
Kidal ni mojaa ya kambi nane Minusma ambayo iko katikati na kazikazini mwa nchi ya mali , Ni eneo muhimu sana ambalo jeshi la Mali Junta limedhamiria kupamabana na kulichukuwa tena
Minsuma imesema imeharibu vifaa vyote ambavyo waliviacha kambini humo , Minusma wamekuwa kwenye hizo kambi tangia mwanzoni mwa miaka 2012 amabo kundi la waislamu wenye siasa kali ambao wanaushirikiano na kundi la ISS na ALQEDA

