Mali – Baada ya walinda Amani UN kuondoka waasi wateka Maeneo hayo

Waasi kutoka kazikazini  nchini  Mali Tuareg wamesema kwa sasa wamechukuwa na wanamiliki kambi  ya Kidal ambayo ilikuwa inatumiwa na walinda amani wa UN,

Mji huo wa Kidal unaonekana ni mji muhimu kwa mapigano kati ya waasi hao na jeshi la mali , ikumbukwe  mwezi wa 6 mwaka 2023 Jeshi la mali liliwataka walinda amani wa UN kuondoka hadi ifikapo mwishoni mwezi wa 12 . Kuondoka huko kumekaribisha mapigano mapya

Kidal ni mojaa ya kambi nane Minusma ambayo iko katikati na  kazikazini mwa nchi ya mali , Ni eneo muhimu sana  ambalo jeshi la Mali Junta limedhamiria kupamabana na  kulichukuwa tena

Minsuma imesema imeharibu vifaa vyote ambavyo waliviacha kambini humo , Minusma wamekuwa  kwenye hizo kambi tangia mwanzoni mwa miaka 2012  amabo kundi la waislamu wenye siasa kali ambao wanaushirikiano na kundi la ISS na ALQEDA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button