-
Habari
Chadema Yakomalia Hoja Yake Ya Kuahirisha Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Tundu Lissu amesema kususia kila jambo watakaloletewa na Serikali ni moja ya njia…
Read More » -
Habari
Maradhi Ya Papa Francis Yakatisha Ziara Ya Mfalme Charles Vatican
Mfalme Charles na Malkia Camilla wa Jingereza wameldzl wiesten nn kukutana na Papa wamelazimika kukatisha ziara yao ya kiserikali waliyopanga…
Read More » -
Habari
P Diddy Ashinda Moja Kati Ya Kesi Zake, Nyingine Kuendelea.
Jaji wa shirikisho ametupilia mbali mashtaka ya uhalifu wa kimfumo (RICO) dhidi ya Sean Diddy” Combs katika kesi iliyofunguliwa na…
Read More » -
Habari
Rais Wa Bukinafaso Akataa Kuongezewa Mshahara.
Rais wa Burkina Faso, Kapteni IbrahimTraorĂ©, mwenye umri wa miaka 37, amekataa ongezeko lolote la mshahara, akisisitiza kujitolea kwake kwa…
Read More » -
Habari
Mbowe Afika Msibani Kwa Mke Wa Waziri Mwigulu.
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi…
Read More » -
Habari
“Tumezuiliwa Kufanya Mkutano lla Tutarudi Tena” Heche
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, amesema licha ya jeshi la Polisi kuzuia…
Read More » -
Habari
Lori Lagonga Kituo Cha Mwendokasi Barabara Ya Nyerere.
Lori limegonga kituo cha mwendokasi kilichopo Barabara ya Nyerere upande wa kutokea Gongo la Mboto kuelekea mjini leo Machi 25,…
Read More » -
Habari
Angola Yajiondoa Upatanishi Mgogoro Wa DRC,M23
Angola imehitimisha jitihada zake za upatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kati ya Jeshi…
Read More » -
Uncategorized
Ndege Yakatisha Safari Kisa Rubani Kusahau Pasipoti
Abiria 257 wa Shirika la Ndege la United Airlines walikumbwa na mshangao baada ya ndege yao kurejea ghafla Marekani, ikiwa…
Read More » -
Fahamu
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Yasonga Mbele na Miradi ya Maendeleo ya Kidijitali
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameyataja mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya Mawasiliano katika…
Read More »