Maradhi Ya Papa Francis Yakatisha Ziara Ya Mfalme Charles Vatican
Maradhi Ya Papa Francis Yakatisha Ziara Ya Mfalme Charles Vatican
Mfalme Charles na Malkia Camilla wa
Jingereza wameldzl wiesten nn kukutana na Papa wamelazimika kukatisha ziara yao ya kiserikali waliyopanga kuifanya Vatican na kukutana na Francis mwezi ujao.
Jana Machi 25, 2025 lkulu ya Buckingham ilitangaza kuwa ziara hiyo imeahirishwa kwa makubaliano ya pande zote kutokana na ushauri wa kitabibu aliopewa Papa Francis wa kupumzika muda mrefu, baada ya kulazwa kwa wiki takriban tano.
Papa Francis aliruhusiwa kutoka hospitali alikolazwa kwa maradhi ya nimonia, Jumapili Machi 23, 2025 Katika taarifa ya lkulu ya Buckingham ilieleza:
“Ziara ya Kitaifa ya Mfalme na Malkia kwenda Vatican imeahirishwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, kwani ushauri wa kimatibabu sasa umependekeza kuwa Papa Francis anatakiwa kupata muda mrefu wa kupumzika, wanatazamia kumtembelea, mara tu atakapopata nafuu.”