Waziri Mkuu Majaliwa Katika Maulid ya Kitaifa Dodoma

   

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 28, 2023 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia
Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button